Cybercrimes Act __________________________________________________________________ 23. Unyanyasaji kwa kupitia mtandao. 24. Ukiukaji wa haki bunifu. 25. Wakosaji wakuu. 26. Jaribio la kufanya uhalifu. 27. Kula njama ya kutenda kosa. 28. Ulinzi wa miundo mbinu muhimu ya TEHAMA. 29. Uhujumu wa miundo mbinu muhimu ya TEHAMA. SEHEMU YA TATU MAMLAKA YA MAHAKAMA 30. Mamlaka ya mahakama. SEHEMU YA NNE UPEKUZI NA UKAMATAJI 31. Upekuzi na ukamataji. 32. Utoaji data. 33. Utunzaji data wa dharura. 34. Utoaji na ukusanyaji wa mwenendo wa data. 35. Utoaji na ukusanyaji wa maudhui katika data. 36. Amri ya mahakama. 37. Matumizi ya kifaa cha TEHAMA katika uchunguzi. 38. Usikilizaji wa maombi. SEHEMU YA TANO WAJIBU WA WATOA HUDUMA 39. Kutowajibika kufanya ufuatiliaji. 40. Mtoa huduma ya kuingia kwenye mfumo. 41. Mtunza data. 42. Mhifadhi data kwa muda mfupi. 43. Mtoa huduma ya kuunganisha tovuti. 44. Mtoa huduma ya utafutaji wa taarifa. 45. Notisi ya kuondoa. 46. Wajibu mwingine kutoathiriwa na sheria. 30

Select target paragraph3