Cybercrimes Act
__________________________________________________________________
SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015
MPANGILIO WA VIFUNGU
Kifungu
Kichwa cha habari
SEHEMU YA KWANZA
MASHARTI YA AWALI
1. Jina na tarehe ya kuanza kutumika.
2. Matumizi.
3. Tafsiri.
SEHEMU YA PILI
MASHARTI YANAYOHUSIANA NA MAKOSA NA ADHABU
4. Kuingia kinyume cha sheria.
5. Kubaki katika mfumo wa kompyuta kinyume cha sheria.
6. Kuingilia mawasiliano kinyume cha sheria.
7. Kuingilia data kinyume cha sheria.
8. Ujasusi data.
9. Kuingilia mfumo kinyume cha sheria.
10. Kifaa kisicho halali.
11. Kughushi kunakohusiana na masuala ya kompyuta.
12. Udanganyifu unaohusiana na kompyuta.
13. Ponografia za watoto.
14. Ponografia.
15. Makosa yanayohusiana na utambuzi.
16. Kutoa taarifa za uongo.
17. Ubaguzi.
18. Matusi ya kibaguzi.
19. Mauaji ya kimbari.
20. Taarifa zinazotumwa bila ridhaa.
21. Kufichua taarifa za upelelezi.
22. Kuzuia upelelezi.
29